BABA BONY AGEUKA MBOGO MBELE YA WANANANCHI SASA NI MAELEKEZO KUTOKA JUU CHADEMA
HTML-код
- Опубликовано: 27 мар 2025
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RUclips : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
Umeongea kwa uchungu ndugu yangu. Mungu akubariki na kukulinda baba.
Duuu! Vjana ni aibu kwetu huyu mzee yuko vzr ila vjana wa nchi hii tumelala sana na huku tunako enda ni giza nene katika nchi hii no reform no election jamani
Hongera baba umeongea vizuri watanzania wanaitaji busara zako
Hongera sana baba bon juuuuuuuuuuuu 💪🏿💪🏿💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✔️tuko tayari baba
Mzee anaakili Sana,mzee mmoja ni sawa na mafsiemu buku
Nakupenda sana baba Bon jimbon kwangu ningekuwa na wazee kama wewe ningevimba sana kisiasa
Baba Boni Yuko vizuri
Kelele ya mzee ipo siku ccm mtajuta.
Serious tanzania mbele
Baba Bon oyeeeeer
Mungu atasimama upande wa.haki
Mzee wa ukweli!
ALITUMA WATU KWENDA DUBAI ETI KUJIFUNZA NAMNA YA KUENDESHA BANDARI KUMBE NI ZURUZUNGA ILI AWEZE KUIGAWA.
Upo sawa baba yangu nipo na wewe na cdm yetu
Mzeee umeongea point 👉❤❤❤❤
Sawa mzee
Safiii mzeee
Kabisa baba boni🎉🎉
Hongera sana baba bony unafaa sana
Baba boni shikamooooo
Amani. Ya mama yako. Amani. Kwa haki gani hivi nyie makijani mbona mnatudharau sana utafukiri. Mna hati milik tena mkome
Baba Bon on 🔥 🎉
naombeni namba zake huyo kamanda tumuite huku awaaamshe huku wamelala
Sasa kama huyu Mzee anajielewa vipi sisi vijana bado hatutaki mabadiliko
Jamen tume huru na katiba mpya ni muhimu Sanaa tupate viongoz wa haki waliochaguliwa na raia
Asante baba❤
Ivi wanao piga kula huwa ni wakinanan?......
Tujifunze tuwe tunajitokeza kwenye kupga kula
Camera vp mbona hamjachukua mikono😅😅😅
Nikwer mzee Wetu inji imebaki ni ya askali na viongozi wake
BABA BONI UNA AKILI KULIKO MAKALLAPOX AMBAYE ANAWAZA BADALA YA KUFIKIRI. TUNATAKA MABADILIKO.
Wanaogopa. Kushitikiwa wameifilizi nchi
Baba boni oyeee
Mkoroni makala
Hivi watu wa arusha wamekuwaje!!
Walifungwa midmorning na ufahamu
🎉🎉🎉❤
💔💔💯💯💯
MZEE UNAZEEKA VIBAYA NA WEWE NI FEKI
Baba aako anamfikia.....
Shenzi Twshir. Acha yaranı wako na hamia huko Oman ukase mtumwa wao. Vibaraka nyie
ACHENI UPUMBAFU WENU UROHO WA MADARAKA YA VIONGOZI WENU MNATAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI....MTAFELI NYIE KWA UWEZO WA ALLAH.
Toa miwani uone vzr maana huoni wala usikii
Hujui hata anayevuruga amani, bora ungekaa kimya. Mauwaji, utekaji ndio amani yako wewe.
Wewe utakuwa mnufaika wa mfumo unaoendelea sasa ,pole sana !!!!
Amani iko wapi kila siku watu wanatekwa, wanavunjiwa nyumba zao na kuchomewa nyumba zao alafu hakuna anayekemea. Hatutaki kuongozwa na Rais wa Nchi jirani Hana msaada wowote kwetu. TUMEMCHOKA
@@TwahirBurhan wewe utakuwa chawa wa mfumo wa maccm